• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Afya

Idara ya Afya katika Halmashauri ya Mji wa Geita imepanga kutekeleza majukumu yafuatayo ili kuboresha huduma za afya kwa jamii

  • Kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vya kutolea huduma
  • Kuboresha huduma za mama na mtoto na huduma za uzazi wa mpango
  • Kupambana na magonjwa ya mlipuko na magonjwa yanayoambukiza hasa UKIMWI, kifua kikuu na malaria
  • Kupambana na magonjwa yasiyopewa kipaumbele na yasiyo ya kuambukiza
  • Kuboresha na kuimarisha afya na usafi wa mazingira na kufanya ukaguzi katika maeneo ya mama lishe, nyumba za kulala wageni na bucha
  • Kufanya ukaguzi katika vituo binafsi vya kutolea huduma za afya vikiwemo zahanati, maduka ya dawa na vipodozi
  • Kuboresha huduma za ustawi wa jamii, wazee na watoto
  • Kuboresha eneo la raslimali watu na utawala kwa kufanya safari za usimamizi shirikishi na usimamizi elekezi

Mapambano dhidi ya Malaria

Idara ya Afya inaendelea kupambana na ugonjwa wa Malaria. Idara imeendelea kutekeleza shughuli mbalimbali kama vile kupima wagonjwa wote wenye dalili ya malaria na homa ( joto kali la mwili) kwa kutumia kipimo cha haraka cha malaria na hadubini, kutoa tiba sahihi ya malaria kwa wagonjwa waliogundulika kuwa na ugonjwa huo, ugawaji wa vyandarua vyenye viuatilifu kwa akinamama wajawazito (waliohudhuria kliniki kwa hudhurio la kwanza na watoto wa umri chini ya mwaka mmoja waliohudhuria kliniki kwa ajili ya kupata chanjo ya surua.

Pia elimu ya afya ya kujikinga na mbu waenezao ugonjwa wa Malaria inaendelea kutolewa, kadhalika wananchi wanahimizwa kuhusu umuhimu wa kupima kwa kipimo cha haraka cha malaria kwa wagonjwa wote wenye homa, kuwapatia tiba sahihi na matumizi ya vyandarua vyenye viuatilifu kwa kugawa vipeperushi na mabango katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya. Pia shughuli  za uelimishaji jamii kuhusu ugonjwa wa malaria zinaendelea kufanywa na wahudumu wa Afya wa jamii( community Change Agents, CCA) katika kila kata kwa kutoa elimu ya kujikinga na malaria kwa kufanya mikutano ya hadhara, kutembelea kaya na kutoa elimu katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 February 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Kamati Ya Siasa Mkoa Yakoshwa na Miradi Geita Mjini

    February 06, 2023
  • Wananchi Waaswa Kujitoa Katika Ujenzi Wa Miradi

    January 27, 2023
  • Kamati Ya Siasa Wilaya Ya Geita Yaridhishwa na Miradi Geita Mji

    January 26, 2023
  • Walimu 668 Geita Mji Wanufaika na Vishikwambi

    January 18, 2023
  • Zaidi

Video

Machinjio ya Kisasa Mpomvu Yaanza kazi
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa