• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Afya Kinga na Tiba

Idara ya Afya ni mojawapo ya  Idara zinazotoa huduma za jamii katika Halmashauri ya Mji Geita. Halmashauri ina vituo vya kutolea Huduma za Afya 20, ambavyo 6 ni vya serikali, 3 mashirika ya dini, 10 vya watu binafsi, 1 ni cha kampuni ya Mgodi wa uchimbaji madini ya dhahabu Geita(GGM).

Katika vituo hivyo vya kutolea huduma za Afya kuna Hospitali 3 (Hospitali ya rufaa ya Mkoa, waja na Makoye), vituo vya Afya 3 (kasamwa, Nyankumbu, Upendo na GGM) Zahanati 13 (Nyakabale, Bulela, Bunegezi,Bungwangoko, Sakamu,TCMC, Kasamwa SDA, Vaticana, St Peter,Samaritan, Msufini, Magereza, Tumaini na Nduguru).

HUDUMA ZITOLEWAZO NA IDARA

  • Huduma za Afya ya Mama na Mtoto
  • Chanjo kwa watoto umri chini ya miaka mitano na akina mama wenye umri wa miaka 15 hadi 45
  • Matibabu ya wagonjwa wa Nje na wa kulazwa
  • Huduma za kifua kikuu na Ukoma
  • Huduma za Upimaji wa  Virusi vya Ukimwi, ushauri Nasaha na utoaji wa dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi
  • Huduma rafiki kwa vijana
  • Huduma za Afya ya Uzazi
  • Matibabu ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
  • Matibabu yasiyoambukizwa


JINSI HUDUMA ZINAVYOPATIKANA

Huduma hutolewa kwa wananchi wote wa Halmashauri ya Mji kwa mgawanyiko wa  makundi matano (5) kama ifuatavyo;-

Watoto chini ya Umri wa Miaka mitano na Akina mama wajawazito ambao matibabu yao ni bure

  • Wateja wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)
  • Wateja wa mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA)
  • Wateja wa Msamaha na Wazee
  • Wateja wa Papo kwa Papo ambao hawapo kwenye mfuko wowote



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 February 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Kamati Ya Siasa Mkoa Yakoshwa na Miradi Geita Mjini

    February 06, 2023
  • Wananchi Waaswa Kujitoa Katika Ujenzi Wa Miradi

    January 27, 2023
  • Kamati Ya Siasa Wilaya Ya Geita Yaridhishwa na Miradi Geita Mji

    January 26, 2023
  • Walimu 668 Geita Mji Wanufaika na Vishikwambi

    January 18, 2023
  • Zaidi

Video

Machinjio ya Kisasa Mpomvu Yaanza kazi
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa