• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu

Halmashauri ya Mji wa Geita ina jumla ya shule za msingi 63, shule 47 zikiwa ni shule za Serikali na shule 16 zikiwa ni za watu binafsi. Jumla ya wanafunzi wote kuanzia darasa la kwanza hadi la saba ni 61,091, wavulana 30,245 na wasichana 30,846.

Utekelezaji wa Elimu Msingi bila malipo

Katika kutekeleza azma ya Serikali ya kutoa elimu msingi bila malipo, Halmashauri ya Mji imeendelea kusimamia utekelezaji wa Waraka wa Elimu Namba 3 wa mwaka 2016 unaotoa mwongozo wa namna ya kutekeleza elimu ya msingi bila malipo. Waraka wa Elimu na 3 umeweka bayana majukumu ya wadau wote muhimu katika utoaji wa elimu msingi bila malipo ambapo imeainishwa kuwa wazazi /walezi wanantakiwa kufanya yafuatayo

i. Kununua sare za shule na michezo, vifaa vya kujifunzia, chakula kwa wanafunzi wa kutwa na kugharamia matibabu kwa watoto wao.

ii. Kulipia nauli ya kwenda shule na kurudi kwa wanafunzi wa kutwa

iii. Kulipa nauli za wanafunzi wakati wa likizo, kununua vifaa kwa ajili ya malazi shuleni na vifaa vya kujifunzia

Halmashauri ya Mji Geita imeendelea kuhamasisha jamii / wananchi ili wajitolee nguvu kazi na mali kwa lengo la kuleta maendeleo ya shule zilizo katika maeneo yao. Ikumbukwe kwamba waraka wa Elimu Na. 3 hauzuii wananchi kuchangia shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na elimu bali umezuia michango iliyokuwa inawalenga moja kwa moja wananfunzi, wazazi au walezi. Michango ya namna hiyo ilikuwa inasababisha wananfunzi kufukuzwa shule / kurejeshwa nyumbani na kukosa masomo iwapo mzazi au mlezi angeshindwa kuilipa michango hiyo mapema. Pia wazazi wajenge utamaduni wa kukagua kazi za shuleni za watoo wao ili kujiridhisha kama wanafundishwa shuleni.

Elimu Sekondari

Halmashauri ya Mji wa Geita ina jumla ya shule 29 za Sekondari, kati ya hizo shule 19 zinamilikiwa na Serikali na shule 10 zinamilikiwa na watu binafsi pamoja na mashirika ya dini. Shule za Serikali zina wanafunzi 12,005 ambapo wavulana ni 6,143 na wasichana ni 5,862. Na shule binafsi zina jumla ya wanafunzi 2,557 kati yao wavulana ni 1,333 na wasichana ni 1,224

Halmashauri ya Mji kupitia Idara ya Elimu  Sekondari imeweza kufanya shughuli zifuatazo;-

  • Kushughulikia uhamisho wa walimu na wanafunzi
  • Kufuatilia taaluma, ujenzi na ukarabati wa miundombinu shuleni
  • Kufanya tathmini ya matokeo ya kitaifa ya Kidato cha II na kidato cha IV
  • Kufanya mafunzo ya ujazaji wa TSS
  • Kusimamia migao ya Elimu Msingi bila malipo


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 February 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Kamati Ya Siasa Mkoa Yakoshwa na Miradi Geita Mjini

    February 06, 2023
  • Wananchi Waaswa Kujitoa Katika Ujenzi Wa Miradi

    January 27, 2023
  • Kamati Ya Siasa Wilaya Ya Geita Yaridhishwa na Miradi Geita Mji

    January 26, 2023
  • Walimu 668 Geita Mji Wanufaika na Vishikwambi

    January 18, 2023
  • Zaidi

Video

Machinjio ya Kisasa Mpomvu Yaanza kazi
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa