• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Manunuzi

Halmashauri ya Mji wa Geita ina Kitengo cha Manunuzi na Ugavi ambacho kimeundwa kwa mujibu wa sheria ya Manunuzi Namba 07 ya Mwaka 2011 Kifungu 37 ambapo sheria hiyo inaitaka Taasisi ya Serikali iwe na Kitengo cha Ugavi (Procurement Management Unit).

Kitengo cha Ugavi kinatakiwa kiwe na Mkuu wa Kitengo mwenye elimu aliyo somea ujuzi huo na sifa, uzoefu katika kazi za manunuzi na pia awe amesajiliwa na Bodi ya manunuzi (Professional Body) kama Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2011 kifungu Na 37(3) kinavyoeleza.

Kwa mujibu wa sheria, Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi ataripoti moja kwa moja kwa Afisa Masuuli (Mkurugenzi) wa taasisi husika.

Afisa Masuuli wa taasisi atahakikisha kwamba Kitengo cha Manunuzi na Ugavi (PMU) kinatengewa fedha kwenye bajeti ili kiweze kutimiza majukumu yake.

Majukumu ya Kitengo cha Manunuzi na Ugavi yametajwa katika Sheria ya Manunuzi ya Umma namba 7 ya Mwaka 2011 Kifungu cha 38 (a-q).kama ifuatavyo:

  • Kusimamia manunuzi na mauzo ya mali za Halmashauri yote yanayofanyika ndani ya taasisi kwa njia ya zabuni.
  • Kuwezesha shughuri za Bodi ya Zabuni.
  • Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya zabuni.
  • Kuwa Sekreterieti kwenye vikao vya Bodi ya zabuni.
  • Kupanga manunuzi na mauzo ya mali za Halmshauri kwa njia ya zabuni.
  • Kushauri manunuzi na mauzo ya mali za Halmshauri kwa kuzingatia taratibu za zabuni.
  • Kukagua na kuandaa maelezo ya mahitaji ya manunuzi.
  • Kuandaa makablasha ya zabuni.
  • Kuandaa matangazo ya nafasi za zabuni.
  • Kuandaa mikataba
  • Kutoa mikataba iliyokwisha sainiwa kwa wahusika.
  • Kutunza kumbukumbu ya taratibu za manunuzi na mauzo ya mali za Halmshauri.
  • Kutunza orodha ama reja ya mikataba yote
  • Kuandaa taarifa ya manunuzi ya mwezi kwa ajili ya Bodi ya zabuni.
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa mpango wa manunuzi wa mwaka kwa menejimenti kwa kila robo.
  • Kuunganisha shughuri za manunuzi na mauzo ya mali za Halmshauri ya Idara mbalimbali ndani ya Taasisi.
  • Kuandaa taarifa nyinginezo iwapo zitahitajika.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI February 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Bilioni 9.8 Kutekeleza Miradi Geita Mji Kupitia CSR

    March 22, 2023
  • Wanawake Watakiwa Kuwa Vinara Kupinga Ukatili

    March 10, 2023
  • Geita Gold FC Yazindua Mfumo Wa Usajili Wa Wanachama

    February 23, 2023
  • Madiwani Geita Mji Wafanya Ziara Ya Mafunzo Chalinze

    February 16, 2023
  • Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MACHINJIO YA KISASA MPOMVU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa