Ujenzi wa Nyumba za Wakuu wa Idara
Ujenzi wa nyumba za wakuu wa idara ukiendelea katika mtaa wa Mine mpya kata ya Bombambili
Mradi wa Machinjio ya Kisasa
Ujenzi wa machinjio ya kisasa katika eneo la mpomvu kata ya Mtakuja unatekelezwa na fedha za mkopo kutoka Benki ya Dunia,
Shule mpya ya Sekondari Fulano
Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Fulano kata ya Shiloleli ambao unatekelezwa kwa shilingi milioni 600 kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa SEQUIP
Mradi wa Upanuzi wa Kituo cha Afya Bulela
Upanuzi wa Kituo cha Afya Bulela unaojumuisha ujenzi wa majengo matatu ambayo ni Wodi ya wazazi, jengo la upasuaji na jengo la maabara Mradi huu unatekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri.
Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kata ya Shiloleli
Ujenzi wa Ofisi ya Kata ya Shiloleli ambayo inajengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri
Ujenzi uwanja wa michezo Geita mjini
Ujenzi wa Uwanja wa michezo Geita mjini unaotekelezwa kwa fedha za CSR kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita
Ujenzi wa Ofisi ya Mtaa wa Nyanza kata ya Kalangalala
UJenzi wa Ofisi ya Mtaa wa Nyanza kata ya Kalangalala ambayo inajengwa kupitia fedha za Mapato ya mtaa huo
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa