• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Kamati Ya Siasa Mkoa Yakoshwa na Miradi Geita Mjini

Posted on: February 6th, 2023

Kamati Ya Siasa Mkoa Wakoshwa Na Miradi Geita Mji

Wajumbe wa Kamati ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita wametoa pongezi kwa uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambao unaridhisha.

Pongezi hizo zimetolewa hivi karibuni na wajumbe hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila walifanya ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM katika miradi mbalimbali iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa  katika maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Mji Geita.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita ametoa pongezi kwa kikundi cha vijana Upendo wanaojishughulisha na uchomeleaji vyuma ambao wamekopeshwa mkopo usio na riba kutoka serikalini ambao umewawezesha kuimarisha biashara yao inayowaingizia kipato na kuwakwamua kiuchumi.

“Hongereni sana kwa uaminifu na uadilifu mlioonyesha na kutumia fedha mlizokopeshwa na halmashauri katika malengo mliyojipangia tofauti na wanavikundi wengine ambao wakishapatiwa mikopo hiyo wanagawana na kila mmoja anakwenda kuzalisha fedha hizo kwa shughuli zake binafsi.” Aliongeza Ndg. Nicholaus Kasendamila.

Wajumbe wa Kamati ya siasa Mkoa wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwajali watanzania na kutoa fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo inawanufaisha wananchi katika sekta mbalimbali kama elimu, afya, kilimo na mifugo, maji, nishati nk.

Miradi mingine iliyotembelewa na kamati ya siasa mkoa ni pamoja na upanuzi wa kituo cha afya Nyankumbu, ujenzi wa uwanja wa michezo Geita mjini, ukaguzi wa mradi wa maduka ya CCM na uwanja wa maonesho pamoja na kutembelea makundi maalum yanayojishughulisha na shughuli za kiuchumi ambao wamekopeshwa na Halmashauri ya Mji Geita.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI February 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Bilioni 9.8 Kutekeleza Miradi Geita Mji Kupitia CSR

    March 22, 2023
  • Wanawake Watakiwa Kuwa Vinara Kupinga Ukatili

    March 10, 2023
  • Geita Gold FC Yazindua Mfumo Wa Usajili Wa Wanachama

    February 23, 2023
  • Madiwani Geita Mji Wafanya Ziara Ya Mafunzo Chalinze

    February 16, 2023
  • Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MACHINJIO YA KISASA MPOMVU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa