• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

MKURUGENZI WA MANISPAA YA GEITA AFANYA KIKAO MAALUM KUSIKILIZA KERO ZA WATUMISHI WA AFYA

Posted on: December 4th, 2025

Mapema leo, tarehe 4 Desemba 2025, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Ndugu Yefred Myenzi, ameongoza kikao maalum kilichofanyika katika Hospitali ya Manispaa ya Geita kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi wa idara ya afya. Kikao hicho ni sehemu ya ziara yake maalum ya kuzunguka katika vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya kusikiliza kero za watumishi.


Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi amewapongeza wahudumu wa afya kwa namna wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi na bidii, hali inayochangia kuifanya hospitali hiyo kuendelea kupata sifa chanya kutoka kwa jamii. Amehimiza umuhimu wa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya utumishi wa umma, huku akisisitiza nidhamu binafsi na mahala pa kazi.


Mkurugenzi amekazia zaidi suala la kuwa na kauli njema kwa wagonjwa, akisema huduma bora huanza na lugha nzuri. Amehimiza pia mahusiano mazuri miongoni mwa watumishi, si kazini tu bali pia katika maisha ya kila siku majumbani.


Katika kuhitimisha hotuba yake, Mkurugenzi amewashauri watumishi kujipenda na kutenga siku maalum ya kujipongeza na kuupa mwili pole kama sehemu ya kuongeza morali kazini. Pia amepongeza matumizi ya mfumo wa GoT-HoMIS, na kuwasihi kuendelea kuutumia kwa ufanisi, pamoja na kutunza vifaa tiba na dawa.


Kwa upande wake, Afisa Utumishi wa Manispaa ya Geita, Bi. Ella Makese, aliwapongeza watumishi wa idara hiyo kwa kazi kubwa wanayoifanya, huku akiwataka kutozivumilia changamoto wanazokutana nazo kazini. Alisisitiza kuwa ofisi yake ipo wazi kwa yeyote mwenye changamoto ili kupata suluhisho stahiki kwa wakati.


Naye Mganga Mkuu wa Manispaa ya Geita, Dkt. Sunday Mwakyusa, alimshukuru Mkurugenzi kwa namna ambavyo amekuwa bega kwa bega na idara ya afya, na zaidi kwa namna alivyowasikiliza watumishi moja kwa moja. Alimwomba Mkurugenzi aendelee kufanya ziara kama hizo mara kwa mara katika hospitali hiyo na kwenye vituo vingine vya kutolea huduma za afya.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 MANISPAA YA GEITA December 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 06, 2025
  • TAARIFA YA UKAGUZI WA TAARIFA ZA FEDHA KWA MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024 August 11, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA DEREVA II September 04, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA GEITA AFANYA KIKAO MAALUM KUSIKILIZA KERO ZA WATUMISHI WA AFYA

    December 04, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YASAMBAZA MBEGU ZA VIAZI LISHE KATIKA SHULE 41 KUBORESHA LISHE YA WANAFUNZI

    December 03, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YAKABIDHI KOMPYUTA MPAKATO KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NGAZI YA KATA KUONGEZA UFANISI WA KAZI

    December 03, 2025
  • MADIWANI WA MANISPAA YA GEITA WALA KIAPO NA KUJIELEKEZA KULETA MAENDELEO KWA KUZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI

    December 02, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200 GACOR
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88