• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Tumieni Fursa Za Elimu Zitolewazo Na Serikali - Dc

Posted on: November 21st, 2022

Tumieni Fursa Za Elimu Zitolewazo Na Serikali- DC

Mkuu wa Wilaya ya Geita Mheshimiwa Wilson Shimo ameiasa jamii kuhakikisha wanatumia vyema fursa ambazo zinazotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kujiendeleza kielimu kuanzia ngazi ya awali, msingi hadi vyuo vikuu.

Mhe. Shimo ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na hadhara wakati wa Maadhimisho ya kilele cha juma la Elimu ya Watu wazima Wilayani Geita katika uwanja wa CCM Kalangalala hivi karibuni.

Mkuu wa Wilaya ya Geita ameeleza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa nafasi za watanzania kupata elimu chini ya mfumo rasmi na nje ya mfumo rasmi, ambapo watu wazima walioshindwa kupata elimu ya msingi kwa mfumo rasmi (MEMKWA) pia wasichana waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali wamerejeshwa shule.

“Ndugu wanageita wenzangu nawasihi msipuuzie nafasi hizi zilizotolewa na Serikali yetu kwa kuacha tabia ya kuwaficha ndani Watoto wenye ulemavu, hii ni kuwanyima kupata fursa ya elimu ambayo ni haki yao ya msingi. Kadhalika walimu na wazazi mnatakiwa kushirikiana  kuhakikisha tatizo la utoro sugu na rejareja wa wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari linadhibitiwa kikamilifu”. Aliongeza Mhe. Shimo.

Akizungumzia changamoto zinazoikabili elimu ya watu wazima, Afisa Elimu ya Watu wazima Halmashauri ya Mji Geita Bi. Rahel Mwera amesema kuwa baadhi ya vikwazo vinavyochangia kuzorota kwa shughuli za elimu kwa watu wazima ni pamoja na walimu wanaofundisha madarasa ya watu wazima kutowezeshwa, wazazi kuwaficha Watoto wanaostahili kuandikishwa madarasa ya MEMKWA, mahudhurio hafifu ya wanakisomo kutokana na kusongwa na shughuli za kujitafutia mahitaji ya kujikimu kimaisha na sehemu kubwa ya wananchi kutokuwa na uelewa juu ya manufaa ya elimu ya watu wazima.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 February 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Kamati Ya Siasa Mkoa Yakoshwa na Miradi Geita Mjini

    February 06, 2023
  • Wananchi Waaswa Kujitoa Katika Ujenzi Wa Miradi

    January 27, 2023
  • Kamati Ya Siasa Wilaya Ya Geita Yaridhishwa na Miradi Geita Mji

    January 26, 2023
  • Walimu 668 Geita Mji Wanufaika na Vishikwambi

    January 18, 2023
  • Zaidi

Video

Machinjio ya Kisasa Mpomvu Yaanza kazi
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa