• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Uchumi Elimu na Afya

Kamati hii itashughulikia mambo yote yanayohusu viwanda, biashara, madini, bustani na ukaguzi wa nyama kwa mujibu wa kifungu cha 62 (c & f) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) (Sura ya 288).

Kadhalika itashughulikia masuala yanayohusiana na ldara ya Afya na Elimu yakiwemo yahusuyo kinga, tiba, malezi bora ya watoto na akina mama, wazazi, elimu ya awali, msingi, sekondari, watu wazima na maendeleo vijijini.

 

 Majukumu maalum ya Kamati           

(a)   Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato,

(b)    Kuandaa na kupendekeza mipango madhubuti ya maendeleo ya kilimo,

 (c)    Kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika,

(d)    Kubuni mbinu za kutafiti, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Sera ya  Maendeleo ya Jamii,

(e)    Kupendekeza mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa  hospitali, vituo vya afya na zahanati,

 (f)    Kushauri na kupendekeza mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi  na ujenzi wa shule za awali na za msingi kwa mujibu wa Sheria ya Elimu Na. 25 ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.

(g)    Kushauri na kupendekeza mipango ya kuimarisha kuendeleza elimu ya watu  wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu Na. 25 ya 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995.

 (h)   Kupendekeza matumizi ya mila nzuri zinazoliletea Taifa heshima na zinazoleta maendeleo, pamoja na kupendekeza kuondolewa kwa mila  zinazoliaibisha Taifa,

(i)     Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa viwanja, majengo na mazingira ya burudani, starehe, mapumziko na michezo,

(j)     Kupendekeza mambo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali yenye sura nzuri

(k)    Kupendekeza na kuratibu njia bora ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kwa ajili ya kumbukumbu za historia pamoja na uanzishaji wa maktaba za Halmashauri ambazo kumbukumbu hizo zitahifadhiwa,

(l)     Kupendekeza njia bora za uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonyesho,

(m)   Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya Taifa

(n)    Kupendekeza matumizi ya malezi ya vijana ili waweze kuwa wazalishaji katika Taifa,

(o)    Kupendekeza kwa Halmashauri kutunga Sheria Ndogo zinazohusu Kamati hii,

(p)    Kuhakikisha kuwa Sera za Uchangiaji katika Elimu na Afya zinatekelezwa,

(q)    Kupendekeza kwa Halmashauri kushughulikia magonjwa ya mlipuko.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI KAZI YA MKATABA May 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • KUSUDIO LA KUNYANG'ANYWA VIWANJA December 06, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Ujenzi Wa Miundombinu Ya BOOST Waanza Kwa Kishindo

    May 19, 2023
  • Fanyeni Kazi Kwa Maadili na Ubunifu - RC Geita

    May 03, 2023
  • Jamii Yashauriwa Kuwapeleka Watoto Kwenye Chanjo

    April 25, 2023
  • Mradi wa BOOST Kupunguza Msongamano wa Wanafunzi

    April 19, 2023
  • Zaidi

Video

MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa