Shughuli za kuendeleza sekta ya Mifugo zinaendelea kwa mujibu wa sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya kazi kwa kadri zilivyopangwa na nyingine kujitokeza kama zilivyoripotiwa katika taarifa za watumishi wa ugani kutoka ngazi ya vijiji/ mtaa, kata na makao makuu ya halmashauri.
IDADI YA MIFUGO KATIKA HALMASHAURI YA MJI
AINA YA MIFUGO
|
JUMLA
|
Ng'ombe wa kienyeji
|
27,995
|
Ng'ombe wa kisasa( chotara)
|
252
|
Mbuzi kienyeji
|
19,281
|
Kondoo
|
7,889
|
Nguruwe
|
2,239
|
Punda
|
535
|
Kuku- asili
|
703,592
|
Kuku-mayai
|
5,643
|
Mbwa
|
6,512
|
Paka 2,654
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa