Kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima mkoani Geita yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya msingi Ludete Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Karibu utazame namna Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha elimu ya awali katika shule zetu za msingi.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela afanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo Geita mjini.
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa