• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Nyuki na Misitu
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

Tourist Attractions

Utalii

Halmashauri ya Mji wa Geita ina vivutio vinavyoonyesha maeneo ya kale yaliyokuwa yakitumika na ambayo yanaendelea kutumika kwa ajili ya matambiko mbalimbali kama Bao la kale lililoko kwenye mwamba, unyayo wa mtu wa kale ulioko kwenye mwamba, kisima cha maji kisichokauka kilichoko juu ya mwamba, jiwe  lililoko juu ya mwamba lenye umbo la ramani ya Afrika na jiwe linaloonyesha umbo la ng'ombe aliyelala. Vivutio vyote vilivyoelezewa hapo viko katika kata ya Bulela. Katika mji wa Geita kuna majengo ya kale, kiwanja na chanzo cha maji kisichokauka kama kivutio kwa ajili ya kumbukumbu kwa wakazi wa Geita mjini.

Uwepo wa Mgodi mkubwa wa Dhahabu wa Geita kwenye mitaa ya Nyamalembo na Nyakabale katika kata ya Mtakuja. Ni mgodi wa pili kwa ukubwa Afrika kwa uzalishaji wa dhahabu. Picha hapo chini ikionesha machimbo ya ndani( underground pit) katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita ambayo ni kivutio kikubwa kwa wageni watokao nje ya nchi na watanzania wenyewe kwa ujumla.

Picha hapo juu ikionesha Uchimbaji wa Madini ndani ya miamba( underground Pit) katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita

jiwe-lenye-ramani-ya-ngombe-aliyelala-linapatikana-katika-kata-ya-bulela

Chemchemi ya Lwenge katika kata ya Kalangalala ambayo haikauki tangu enzi za ukoloni. Inahudumia sehemu kubwa ya wakazi wa Geita mjini kwa maji safi na salama na inasemekana kuna nyoka mkubwa katika eneo hilo ambaye anatokea mara kadhaa akitokea kwenye chanzo cha maji kilipo alimaarufu Keita Abantu( Mlimani).

Moja ya choo kilichokuwa kinatumiwa na wahunzi wakati wa enzi za utawala wa Mjerumani. Choo hicho kipo katika Mtaa wa Lwenge Geita mjini

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI February 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 22, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MACHINJIO August 16, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA GEITA MJI December 02, 2022
  • Zaidi

Habari Mpya

  • Bilioni 9.8 Kutekeleza Miradi Geita Mji Kupitia CSR

    March 22, 2023
  • Wanawake Watakiwa Kuwa Vinara Kupinga Ukatili

    March 10, 2023
  • Geita Gold FC Yazindua Mfumo Wa Usajili Wa Wanachama

    February 23, 2023
  • Madiwani Geita Mji Wafanya Ziara Ya Mafunzo Chalinze

    February 16, 2023
  • Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MACHINJIO YA KISASA MPOMVU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Applications Forms
  • Acts
  • Barua pepe za watumishi
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa