Idara ya maji katika Halmashauri ya Mji wa Geita ina jukumu la kusimamia sera na programu za Maji ili kuhakikisha huduma ya Maji safi na salama inapatikana kwa wakazi wa mjini na vijijini katika kata 13, mitaa 65, vijiji 13 na vitongoji 47 vinavyopatikana katika Halmashauri ya Mji wa Geita.
Shughuli zilizopangwa kutekelezwa na Idara
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa